Mmiliki wa Shule LUCKY VICENT Ahukumiwa, Mzazi Atoa Siku 30 Haki Itendeke!
Global TV Online
0:00 / 0:00
Mmiliki wa Shule LUCKY VICENT Ahukumiwa, Mzazi Atoa Siku 30 Haki Itendeke!
50 665 просмотров · 7 л. назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
50 665 просмотров · 7 л. назад
Mmiliki wa Shule LUCKY VICENT Ahukumiwa, Mzazi Atoa Siku 30 Haki Itendeke!
Watuhumiwa wawili wa kesi iliyohusisha Ajali ya Basi lililokuwa limepakia wanafunzi wa shule ya Lucky Vicent ya Jijini Arusha iliyotokea tarehe 6/5/2017, wamekutwa na hatia ya kufanya makosa matano.
Watuhumiwa hao ambao ni Mkurugenzi wa kampuni ya Lucky Victent Innocent Moshi, pamoja na Makamu mkuu wa Shule hiyo, Longino Vicent, walikutwa na hatia kila mmoja mbele ya hakimu. Niku Mwakatobe, wa mahakama mkazi ya Mkoa wa Arusha.
Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho