Перейти к содержимому

BWANA NI MCHUNGAJI WANGU // MSANII MUSIC GROUP

Msanii Music Group

0:00 / 0:00

BWANA NI MCHUNGAJI WANGU // MSANII MUSIC GROUP

365 796 просмотров · 3 года назад
Msanii Music Group
1,03 млн подписчиков
365 796 просмотров · 3 года назад
Join this channel to get access to perks:    / @msaniirecordseastafrica   LYRICS Bwana ni mchungaji wangu Sitapungukiwa kitu chochotee.... Bwana ni mchungaji wangu Sitapungukiwa kitu chochotee.... Hunilaza kwenye majani mabichi Hunongoza kwa maji matulivu... Hunilaza kwenye majani mabichi Hunongoza kwa maji matulivu.... Hunihuisha nafsi yangu Hunongoza kwa njia za haki... Nipitapo bondeni mwa mauti Sitaogopa maana ye yu nami.... Hakika wema nazo (wema nazo) Fadhili zitanifuata (Zitanifuata) Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (Mwa baba yangu) Siku za maisha yangu yote (Hakika) Hakika wema nazo (Wema nazo) Fadhili zitanifuata (Zitanifuata) Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (mwa baba yangu) Siku za maisha yangu yote..... Gongo lako na fimbo yako vyanifariji... Mimi mwana wako.. Waandaa meza mbele yangu... Machoni pa watesi wangu Machoni pa wasiwanguu.. Hakika wema nazo (wema) Fadhili zitanifuata Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (Mwa baba yangu) Siku za maisha yangu yote (Hakika) Hakika wema nazo (wema nazo) Fadhili zitanifuata (Zitanifuata) Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (mwa baba yangu) Siku za maisha yangu yote... Nakualika ewe rafiki yangu Uje uwe kondoo wake.... Yeye ni mlinzi mwema... Atakulinda siku sote.... Hatakuacha kamwe.... Hadi mwisho wa dahari.... Hadi mwisho wa dahari... Hakika wema nazo (wema nazo) Fadhili zitanifuata (zitanifuata) Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (mwa baba yangu) Siku za maisha yangu yote (hakika) Hakika wema nazo (wema nazo) Fadhili zitanifuata (zitanifuata mimi) Nitakaa nyumbani mwa baba yangu ( mwa baba yangu) Siku za maisha yangu yote (hakika) Hakika wema nazo (wema nazo...) Fadhili zitanifuata (..tanifuata) Nitakaa nyumbani mwa baba yangu (mwa baba yangu) Siku za maisha yangu yote (..aa maisha yangu yote)