Перейти к содержимому

Ee Bwana Fadhili Zako Ni Za Milele | Wimbo wa Katikati | Dominika ya 21 mwaka A

St. Paul's Students Choir University of Nairobi

0:00 / 0:00

Ee Bwana Fadhili Zako Ni Za Milele | Wimbo wa Katikati | Dominika ya 21 mwaka A

7 800 просмотров · 6 лет назад
St. Paul's Students Choir University of Nairobi
27 тыс. подписчиков
7 800 просмотров · 6 лет назад
Wimbo wa katikati Dominika ya 21 mwaka A Jumapili ya tarehe 23/8/2020 Zaburi: 137 Mtunzi: Robert Maneno https://www.swahilimusicnotes.com/wim... Waimbaji ni baadhi ya wanakwaya wa St Paul's Students Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi Karibu kutazama wimbo wa katikati kila wiki pamoja na nyimbo nyingine za kwaya katoliki Kenya na Tanzania katika channel hii Please like, share and subscribe lest you miss out our next uploads. MANENO YA WIMBO Kiitikio: Ee Bwana, fadhili zako ni za milele; Usiziache kazi za mikono yako. Mashairi. Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, mbele ya miungu nitakuimbia zaburi. Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu. Nitalishukuru jina lako, kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako; kwa maana umeikuza ahadi yako kuliko jina lako lote. Ingawa bwana yuko juu, amwona mnyenyekevu, naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali. Ee Bwana fadhili zako ni za milele; usiziache kazi za mikono yako.