Перейти к содержимому

KIFAFA CHA MIMBA:Sababu,Dalili,Matibabu

WikiElimu

0:00 / 0:00

KIFAFA CHA MIMBA:Sababu,Dalili,Matibabu

4 185 просмотров · 6 лет назад
WikiElimu
37,4 тыс. подписчиков
4 185 просмотров · 6 лет назад
#Joel_Saro #WikiElimu #Kifafa_cha_mimba Kifafa cha mimba (Eclampsia) ni degedege inayompata mwanamke mjamzito ambayo haihusiani kabisa na tatizo kwenye ubongo. • Dalili za kifafa cha mimba ni pamoja na:  Maumivu ya misuli  Degedege  Kuwa mkali na mwenye hasira  Kupoteza fahamu • Dalili zinazoashiria kuwa unaelekea kupata kifafa cha mimba (preeclampsia) ni pamoja na:  Kuongezeka uzito kwa zaidi ya kilo 1 kwa wiki  Kichwa kuuma  Kichefuchefu na kutapika  Maumivu ya tumbo  Kuvimba kwa mikono na uso  Matatizo ya kuona JIFUNZE ZAIDI HAPA *Website:http://wikielimu.com/index.php?title=... TUFUATILIE HAPA *Facebook:https://web.facebook.com/WikiElimu/?_... *Instagram:  / wikielimu   *Twittwer:  / wikielimu   MUSIC CREDIT *https://www.bensound.com/ ASANTE, TU-SUPPORT SUBSCRIBE TAFADHALI, ASANTE