Перейти к содержимому

NJIA 4 ZA KUACHA TABIA ZINAZOKUKWAMISHA KUENDELEA

Success Path Network

0:00 / 0:00

NJIA 4 ZA KUACHA TABIA ZINAZOKUKWAMISHA KUENDELEA

15 663 просмотра · 5 лет назад
Success Path Network
372 тыс. подписчиков
15 663 просмотра · 5 лет назад
Kuna siri kubwa sana katika tabia zetu kama wanadamu, na kama tukilifahamu hili na kulifanyia kazi basi tunaweza kujieletea mabadiliko makubwa katika maisha yetu. . Tabia nzuri ni zile zinazotufanya tuendelee na mara zote huwa ni ngumu sana kuzijenga ila ni rahisi sana kujenga tabia mbaya (ambazo zinatukwamisha sisi wenyewe kuendelea) basi somo hili ni maalum kabisa kwako kama unatafuta njia za kuachana na tabia hizo mbaya ili uweze kuisafisha njia yako ya mafanikio. . GROUP LANGU LA VITABU (WHATSAPP): (SPN BOOK CLUB): Karibu ujiunge ikiwa wewe: Unapenda kupata faida toka kwenye vitabu Ni mvivu kusoma na ungependelea kusikiliza (Audio) zaidi. Unataka kufahamu/ kupata vitabu vizuri vya mafanikio. Utapata AUDIO CLIPS kwenye simu yako zilizosomwa kwa ufasaha na hazichoshi kusikiliza. Ili kujiunga tuma ujumbe "whatsapp" andika: SPN BOOK CLUB kwenda namba 0759191076 . ADA NI SHILINGI 2,000/= TU KWA WIKI . SUBSCRIBE - COMMENTS - LIKE - SHARE . UNGANA NAMI MITANDAONI: INSTAGRAM (SPN):   / successpath.  . INSTAGRAM :   / ezdenjumanne   FACEBOOK :   / ezdenjumanne   TWITTER :   / ezdenjumanne   LINKEDIN :   / ezdenjumanne   YOUTUBE :    / ezdenjumanne   . BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU: EMAIL: successpathnetwork@gmail.com WHATSAPP : (+255)759191076 . SUBSCRIBE CHANNEL YA HAMASA YA LEO HAPA:    / hamasayaleo   . . #Acha #Tabia #Mbaya