Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 25.08.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 25.08.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

13 048 просмотров · Трансляция закончилась 11 часов назад
DW Kiswahili
331 тыс. подписчиков
13 048 просмотров · Трансляция закончилась 11 часов назад
Karibu katika matangazo haya, katika Dunia Yetu Leo Jioni kati ya mengi tutaanza nchini Tanzania utasikia:- Baada ya Dk. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania, mjadala wa kisisasa na kisheria waibuka kuhusu hatua zitakazofuata baada ya tangazo hilo. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ni miongoni mwa vigogo walioacha nyadhifa zao tangu Samia aingie madarakani. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.