Перейти к содержимому

Bwana alitutendea mambo makuu tulikua tukifurahi (Zaburi 126:1-6, K 3)

Chellah Pretty

0:00 / 0:00

Bwana alitutendea mambo makuu tulikua tukifurahi (Zaburi 126:1-6, K 3)

2 460 просмотров · 4 года назад
Chellah Pretty
1,77 тыс. подписчиков
2 460 просмотров · 4 года назад
Zaburi ya jumapili ya 5 ya Kwaresma Bwana alipowarudisha mateka wa Sioni, Tulikua kama wanaoota ndoto, Hapo kinywa chetu kilijaa kicheko, Na ulimi wetu kelele za furaha. Ndipo waliposema Kati ya mataifa, Bwana amewatendea makuu, Bwana alitutendea mambo makuu Tulikua tukifurahi We Bwana, uwarudishe wafungwa wetu, Kama vijito huko negebu, Waliopanda kwa machozi, Watavuna kwa kelele za furaha. Anayekwenda huku akilia, Akichukua mbegu za kupanda, Atarudi kwa kelele za furaha, Akibeba miganda yake