Перейти к содержимому

KUWA MSHIRIKA NYUMBANI MWA BWANA SI MPITAJI

PAG MWU

0:00 / 0:00

KUWA MSHIRIKA NYUMBANI MWA BWANA SI MPITAJI

57 просмотров · 8 дн. назад
PAG MWU
356 подписчиков
57 просмотров · 8 дн. назад
Katika somo hili, tunajifunza umuhimu wa kuwa mshirika wa kweli katika Nyumba ya Bwana, si mpitaji tu. Mungu ametuita kuwa sehemu ya mwili wa Kristo, kushiriki katika ibada, huduma, ushirika na kazi ya Ufalme wake.