KUWA MSHIRIKA NA SI MPITAJI SOMO LA 2.
PAG MWU
0:00 / 0:00
KUWA MSHIRIKA NA SI MPITAJI SOMO LA 2.
44 просмотра · 4 дн. назад
PAG MWU
356 подписчиков
44 просмотра · 4 дн. назад
Katika Somo la 2, tunaendelea kujifunza umuhimu wa kuwa mshirika wa kweli katika nyumba ya Bwana, si kuwa mpitaji anayekuja na kuondoka bila kujitoa katika kazi ya Mungu.
Mungu anatuita kushiriki katika kile anachokifanya, kusimama katika imani, kuwa na moyo wa kujitoa na kujenga ushirika wa kweli katika mwili wa Kristo.