Перейти к содержимому

USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI NI JUKUMU LA WOTE

TriGen Media

0:00 / 0:00

USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI NI JUKUMU LA WOTE

524 просмотра · 6 месяцев назад
TriGen Media
5,42 тыс. подписчиков
524 просмотра · 6 месяцев назад
Kila uchao mwanao anakuaga kwenda Shule, hivi ulishawahi kufikiria juu ya mikasa ya Usalama barabarani dhidi yake kutokana na waendesha vyombo vya usafiri wasiozingatia sheria?. Makala hii ya Trigen Media katika mwendelezo wa Kampeni ya Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, tunaangazia Usalama barabarani kwa wanafunzi.Fuatilia