Last Name Ep 14
Golden Star movie
0:00 / 0:00
Last Name Ep 14
502 просмотра · 13 дней назад
Golden Star movie
369 подписчиков
502 просмотра · 13 дней назад
MOTO unazidi kurindima ndani ya nyumba ya hanafi ambapo najra anaonekana kuwa mwiba mkali mbele ya uhusiano wa mwanamvua na hanafi (baba yake) wakati huo huo tunagundua siri kubwa ambayo fatuma aliifanya kabla ya kifo chake na siri hiyo ndio imekuwa kama lana iliyoingia kwenye nyumba yake na kugeuka JINAMIZI BAYA LA VIFO:
Kujua nini kinaendelea kwenye mjengo huu wa hanafi endelea kufuatilia tamthilia hii nzuri ya LAST NAME (JINA LA MWISHO) na sasa ni sehemu ya kumi na nne. TWENDE KAZI:
Kama umependa Episode hii, tafadhali gonga neno SUBSCRIBE, weka LIKE yako, na usisahau KU-SHARE na marafiki zako ili tuendelee kuwaletea burudani kali kila siku!
👇 WASILIANA NASI / TUFUATILIE MITANDAONI 👇
Facebook: https://web.facebook.com/AfricanCineStudio
Facebook: https://web.facebook.com/mustapha.kiroboto
💬 Tuchat WhatsApp: https://wa.me255784944804
📧 Barua Pepe (Email): mustaphajumanne@gmail.com
PLAYLIST ZETU
▶️ Angalia Shorts zote za Vichekesho hapa: • VICHEKESHO
▶️Angalia Tamthilia Ya Last Name Hapa: • Last Name Series
#LastName #TamthiliaMpya #BongoComedy #Vichekesho #Shorts #TanzaniaComedy #SwahiliDrama