Last Name Ep 15
Golden Star movie
0:00 / 0:00
Last Name Ep 15
131 просмотр · 10 дн. назад
Golden Star movie
369 подписчиков
131 просмотр · 10 дн. назад
Uwepo wa Najra (binti wa hanafi) umezidi kuwa tishio kubwa kwa mwanamvua ambae anaonekana kupata wakati mgumu juu ya kuendelea na mipango yake hasa kwa kua najra hampi utulivu kitu kinachomfanya awe na migogoro ya mara kwa mara na hanafi. Wakati huo najra anapewa taarifa kuwa mwanamvua ana ujauzito, taarifa inayozidi kumpa ugumu dhidi ya mpango wake wa kumuondoa mwana pale nyumbani. je najra atakuja na mbinu gani ili kuhakikisha anamng’oa chui huyu hatari wa kike? . Endelea kuangalia hadithi hii ya kusisimua kwenye Tamthilia yetu ya LAST NAME Ep 15
Kama umependa Episode hii, tafadhali gonga neno SUBSCRIBE, weka LIKE yako, na usisahau KU-SHARE na marafiki zako ili tuendelee kuwaletea burudani kali kila siku!
👇 WASILIANA NASI / TUFUATILIE MITANDAONI 👇
Facebook: https://web.facebook.com/AfricanCineStudio
Facebook: https://web.facebook.com/mustapha.kiroboto
💬 Tuchat WhatsApp: https://wa.me255784944804
📧 Barua Pepe (Email): mustaphajumanne@gmail.com
PLAYLIST ZETU
▶️ Angalia Shorts zote za Vichekesho hapa: • VICHEKESHO
▶️Angalia Tamthilia Ya Last Name Hapa: • Last Name Series
#LastName #TamthiliaMpya #BongoComedy #Vichekesho #Shorts #TanzaniaComedy #SwahiliDrama