Перейти к содержимому

Dr. Chris Mauki - Sababu nne ( 4 ) kwanini unamaumivu na majeraha kwenye mahusiano yako

Chris Mauki

0:00 / 0:00

Dr. Chris Mauki - Sababu nne ( 4 ) kwanini unamaumivu na majeraha kwenye mahusiano yako

2 128 просмотров · 1 год назад
Chris Mauki
382 тыс. подписчиков
2 128 просмотров · 1 год назад
Mahusiano yasiyo na afya yanaweza kwa kiasi kikubwa kusababisha maumivu na majeraha kwa wapenzi wahusika wa mahusiano hayo. Madhara yake yanaweza kuwa endelevu. Swali ni kwanini maumivu na majeraha husababishwa? Nini hutokea? Nina majibu hapa kwa ajili yako!