Перейти к содержимому

Jinsi ya Kupika Pilau ya Nyama ya Ng’ombe Tamu Sana | Mapishi Rahisi Hatua kwa Hatua

MAPISHI FOOD LIFE

0:00 / 0:00

Jinsi ya Kupika Pilau ya Nyama ya Ng’ombe Tamu Sana | Mapishi Rahisi Hatua kwa Hatua

16 287 просмотров · 5 месяцев назад
MAPISHI FOOD LIFE
96 тыс. подписчиков
16 287 просмотров · 5 месяцев назад
eo nakushirikisha jinsi ya kupika pilau ya nyama ya ng’ombe tamu sana kwa kutumia viungo rahisi vya nyumbani. 🥘 VIUNGO NILIVYOTUMIA: Kikombe 1 cha mchele Nyama ya ng’ombe (robo kilo) Vitunguu maji (vikubwa 1–2) Tangawizi (kidogo) Kitunguu saumu (punje 3–4) Pilau masala (kijiko 1) Njegere (kiasi) Viazi mviringo (vipande kadhaa) Chumvi (kiasi) Mafuta ya kupikia (kiasi) Supu ya nyama 💧 MUHIMU KUJUA: 👉 Kikombe utakachotumia kupimia mchele, ndicho hicho hicho tumia kupimia maji. 👉 Kwa kikombe 1 cha mchele, tumia kikombe 1 cha maji au supu ya nyama ili kupata pilau isiyo uji. kumbuka pika kwa moto kidogo sana baada ya maji kupunguwa .