Перейти к содержимому

Jinsi ya kupika pilau tamu la nyama ya ng'ombe

Rucky Film's

0:00 / 0:00

Jinsi ya kupika pilau tamu la nyama ya ng'ombe

22 734 просмотра · 1 год назад
Rucky Film's
7,1 тыс. подписчиков
22 734 просмотра · 1 год назад
Karibuni tena jikoni kwangu! Leo nawafundisha jinsi ya kupika Pilau la Nyama ya ng'ombe Tamu sana kwa kutumia njia rahisii Kabisa na Kwa Mahitaji rahisi ya nyumbani. MAHITAJI *Mchele robo 3 *Nyama ya ng'ombe nusu kilo *kitunguu saumu kimoja kikubwa *Pilau Mix 1 *Vitunguu maji vitatu 3 vikubwa *Mafuta nusu kikombe kidogo *Chumvi Robo kijiko *Maji kikombe kimoja *Tangawizi Moja kubwa ************* Mimi ni Ruqaiyah Yassin (Mapishi na Rucky) ni Mpishi na Mtengenezaji wa maudhui haya. Video zote unazoziona hapa zimeandaliwa, zikarekodiwa, na kuhaririwa na Mimi mwenyewe katika jiko langu hapa Dar es salaam Tanzania. Lengo langu ni kushiriki mapishi asilia ya Kitanzania na mbinu rahisi za jikoni. ************* Maudhui haya ni mali ya MAPISHI NA RUCKY Hairuhusiwi kupakua na kurusha tena video hii kwenye channel nyingine bila ruhusa. Nifollow Kwenye Akaunti Yangu ya TikTok 👇 https://www.tiktok.com/@ruckymontana1...