DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 03.11.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 03.11.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
10 629 просмотров · Трансляция закончилась 11 ч назад
DW Kiswahili
338 тыс. подписчиков
10 629 просмотров · Трансляция закончилась 11 ч назад
Tunakutana tena katika matangazo haya ya mchana, na tuliyokuandalia katika Dunia Yetu Leo Mchana ni pamoja na:-
Iran imesema jukumu la kuzuia vita sasa liko mikononi mwa Marekani, huku ikisisitiza kuwa iko tayari kwa mazungumzo na kujilinda iwapo itahitajika.
Wamarekani wapiga kura leo katika uchaguzi wa katikati ya muhula, utakaoamua udhibiti wa Bunge la Congress katika kipindi cha mwisho cha utawala wa Rais Donald Trump.
#DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.