GUMZO MAALUM: Upotoshaji wa makusudi kwenye michoro ya biashara ya utumwa
Gumzo la Ghassani
0:00 / 0:00
GUMZO MAALUM: Upotoshaji wa makusudi kwenye michoro ya biashara ya utumwa
4 730 просмотров · 5 л. назад
Gumzo la Ghassani
45,2 тыс. подписчиков
4 730 просмотров · 5 л. назад
Maelezo kuhusiana na wahusika wa biashara ya utumwa katika Afrika Mashariki yamekuwa kama kipimo cha kuwaadhibu wengine kisaikolojia kutokana na mbinu za kuiwasilisha taswira ya biashara yenyewe, hasa kupitia michoro inayotumika kwenye vitabu wanavyotumia wanafunzi kujifunza historia yao. Profesa Ibahim Nur Sharif amefanya utafiti na kuandika kitabu kiitwacho TANZANIA NA PROPAGANDA ZA UDINI na ndiye mgeni wetu leo kwenye Gumzo Maalum.