Перейти к содержимому

Maridhiano ni kheri, asiyetaka kheri ni shetani - Imamu | GUMZO LA MARIDHIANO

Gumzo la Ghassani

0:00 / 0:00

Maridhiano ni kheri, asiyetaka kheri ni shetani - Imamu | GUMZO LA MARIDHIANO

272 просмотра · 5 ч назад
Gumzo la Ghassani
45,2 тыс. подписчиков
272 просмотра · 5 ч назад
Sheikh Salim Muridu Fakih, Khatibu na Imamu wa Msikiti Makuti wa Jang'ombe, amewataka waumini kukithirisha ibada kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, kufuata mafundisho mema ya Mtume Muhammad (S.A.W.) na kujiepusha na maovu, ikiwemo kuyalinda Maridhiano kwa nguvu zao zote.