Bwana ni mwanga wangu na wokovu wangu (Zaburi 27: 1, 7-8,9a b c, 13-14) K 27:1a
Chellah Pretty
0:00 / 0:00
Bwana ni mwanga wangu na wokovu wangu (Zaburi 27: 1, 7-8,9a b c, 13-14) K 27:1a
3 052 просмотра · 4 года назад
Chellah Pretty
1,77 тыс. подписчиков
3 052 просмотра · 4 года назад
Jumapili ya pili ya Kwaresma
Bwana ni mwanga wangu na wokovu wangu
nimwogope nani
Bwana ni kinga ya uzima wangu
nimhofu nani
Ee Bwana, usikie sauti yangu ninapokulilia
Unihurumie unijibu
Moyo wangu unasema, Njoo utafute iso wake Mungu
Nitakutafuta uso wako Ee Bwana
Usinifiche uso wako
usimkatae kwa hasira mtumishi wako
Wewe ndiwe msaada wangu
Usinitupe, wala usiniache mwokozi wangu
Naamini ya kuwa nitauona wokovu wa Bwana
Katika nchi ya walio hai
Umngoje Bwana, uwe hodari
Ujipe moyo, naam, umngoje Bwana