MTUME AS HAKUWA FUKARA KAMA WANAVYODAI #QURAN
USTADH HUDHEIFA
0:00 / 0:00
MTUME AS HAKUWA FUKARA KAMA WANAVYODAI #QURAN
286 просмотров · 4 месяца назад
USTADH HUDHEIFA
4,29 тыс. подписчиков
286 просмотров · 4 месяца назад
Je, ni kweli Mtume Muhammad alikuwa fukara maisha yake yote kama tunavyoambiwa katika baadhi ya vitabu vya hadithi? Katika video hii tunachunguza Qur'an moja kwa moja na kuona Allah anasemaje kuhusu hali ya Mtume. Tutasoma Surah Ad-Duha na aya nyingine zinazobainisha neema na riziki alizopewa Mtume. Je, tuamini Qur'an au simulizi zinazomwonyesha Mtume kuwa maskini kupindukia? Tazama hadi mwisho.
#quran
#muhammad
#uislamu