MAMA YETU AISHA RA ANA DHALILISHWA KWENYE SAHIH BUKHARI
USTADH HUDHEIFA
0:00 / 0:00
MAMA YETU AISHA RA ANA DHALILISHWA KWENYE SAHIH BUKHARI
200 просмотров · 3 месяца назад
USTADH HUDHEIFA
4,29 тыс. подписчиков
200 просмотров · 3 месяца назад
Katika video hii tunachambua riwaya inayodai kwamba Mama wa Waumini Aisha aliwaonyesha watu namna ya kuoga janaba. Je, riwaya hii inaendana na heshima ambayo Qur'an inawapa wake wa Mtume? Je, inalingana na maadili ya stara na adabu yanayofundishwa na Qur'an?
#hadithi
#quran
#islamic