Перейти к содержимому

DC MAGOTI ACHARUKA VIBAYA "FUKUZA WOTE WAMEIFANYA KISARAWE SHAMBA LA BIBI"

J FIVE TV ONLINE

0:00 / 0:00

DC MAGOTI ACHARUKA VIBAYA "FUKUZA WOTE WAMEIFANYA KISARAWE SHAMBA LA BIBI"

22 340 просмотров · 1 год назад
J FIVE TV ONLINE
53,4 тыс. подписчиков
22 340 просмотров · 1 год назад
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameifuta baraza la ardhi la Kijiji cha Homboza kata ya Msimbu baada ya kubaini wajumbe wa baraza hilo kujihusisha na uuzaji holela wa ardhi bila kufuata sheria hali inayopelekea mgogoro mkubwa wa ardhi kijijini hapo. Ametoa tamko hilo katika hafla ya kuwaapisha viongozi wapya wa serikali za vijiji na vitongoji, ambapo amewatahadharisha viongozi hao kujiepusha na uuzaji holela wa ardhi ya Kijiji badala yake wakatatue migogoro ya ardhi iliyopo katika maeneo yao, huku akiagiza wale wote waliotengeneza migogoro hiyo wawajibishwe. DC Magoti ameonesha kuchukizwa na uuzaji holela wa ardhi ya vijiji wilayani humo na kuita kitendo hicho ni kama watu wameifanya wilaya hiyo kuwa shamba la bibi watu wajimilikisha hekari kwa hekari kinyume cha taratibu na sheria.