Перейти к содержимому

Naibu Waziri Aweso amuweka ndani Mhandisi wa maji Pangani

Azam TV

0:00 / 0:00

Naibu Waziri Aweso amuweka ndani Mhandisi wa maji Pangani

2 690 просмотров · 7 лет назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
2 690 просмотров · 7 лет назад
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani Pangani mkoani Tanga kumweka ndani mhandisi wa maji wa wilaya hiyo, Novat Wilson akimtuhumu kushindwa kusimamia na kukamilisha kwa wakati mradi wa maji Mseko uliopo Kata ya Ubangaa ambao ulitakiwa kukamilika mwezi Septemba mwaka huu.