Перейти к содержимому

WAZIRI AWESO AVUNJA KAMATI YA MRADI WA MAJI KWAMSISI, WASIMAMIZI WAKAMATWA KWA UBADHIRIFU

MACHINGA TV

0:00 / 0:00

WAZIRI AWESO AVUNJA KAMATI YA MRADI WA MAJI KWAMSISI, WASIMAMIZI WAKAMATWA KWA UBADHIRIFU

2 589 просмотров · 1 год назад
MACHINGA TV
652 тыс. подписчиков
2 589 просмотров · 1 год назад
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, amevunja Kamati ya Mradi wa Maji Kwamsisi na kuagiza kukamatwa kwa wasimamizi wote wa mradi huo kufuatia tuhuma za ubadhirifu wa fedha za wananchi. Katika ziara yake wilayani Handeni, Tanga, Waziri Aweso alibaini mapungufu makubwa katika usimamizi wa fedha na kutoa maelekezo ya kuchunguza matumizi yote ya mradi huo. Angalia video hii kwa taarifa kamili juu ya hatua zilizochukuliwa na Waziri Aweso dhidi ya dhuluma kwa wananchi wa Kwamsisi. Mwandishi: John Mwonga