Перейти к содержимому

AFYA YA AKILI KATIKA MALEZI NA MAKUZI, DR PASCAL KANG'IRIA ##utulivuwaakili #afyaakili #sihaangavu

Radio5 tz

0:00 / 0:00

AFYA YA AKILI KATIKA MALEZI NA MAKUZI, DR PASCAL KANG'IRIA ##utulivuwaakili #afyaakili #sihaangavu

3 491 просмотр · 1 год назад
Radio5 tz
3,06 тыс. подписчиков
3 491 просмотр · 1 год назад
Afya ya akili siyo ukosefu wa magonjwa ya akili tu, bali ni hali ya mtu kuwa na uwezo wakukabiliana na changamoto za maisha, kufanya kazi kwa ufanisi na kushiriki vyema katika jamii. katika kipindi hiki cha mabadiliko ya kijamii na uchumi tunahimizwa kuwekeza muda na upendo kwa watoto wetu kwa kuhakikisha wanapata msaada wa kihisia na kijamii unaowajenga kiakili. SOS CHILDREN'S VILLAGES WANAKULETEA TAARIFA HII #afyaakili #sihaangavu #maishabilajazibainawezekana #usitemedawa2025 #malezinamakuzi #habari #michezo #gtz #magazetiyaleo #bungelive #siasa #burudani #music #5sports #radio #radiolive #radio5fm #ccm #chadema #chamachauma #actwazalendo #burudani #wachokonozi