Перейти к содержимому

Nondo Za Dr. Garvin Kweka | HAUTOJUA KIWANGO CHA NGUVU ULIZONAZO HADI UTAKAPOFAHAMU HAYA (Part 1) 💡

Hub of Wisdom Inc.

0:00 / 0:00

Nondo Za Dr. Garvin Kweka | HAUTOJUA KIWANGO CHA NGUVU ULIZONAZO HADI UTAKAPOFAHAMU HAYA (Part 1) 💡

52 914 просмотров · 1 год назад
Hub of Wisdom Inc.
137 тыс. подписчиков
52 914 просмотров · 1 год назад
🔑 Je, umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine unahisi huna nguvu ya kusonga mbele, kufanya kazi zako kwa bidii au kufanikisha ndoto zako? 🤔 Dr. Garvin Kweka anafichua namna maumivu ya ndani na changamoto za maisha yanavyoweza kuathiri nguvu zako za kiakili, kimwili na kimaisha bila wewe kujua. 👉 Katika video hii (Part 1), utagundua: ✅ Jinsi maumivu yasiyotibika yanavyoweza kukuvunja nguvu. ✅ Siri za kufahamu na kuokoa nguvu ulizonazo. ✅ Hatua za awali za kurejesha ari na uwezo wako wa kufanikisha mambo makubwa. 👉 Tazama hadi mwisho na usisahau KUSUBSCRIBE H.W TV kwa kugusa alama ya kengele kwa maudhui zaidi ya mafunzo, hamasa na mbinu za kuboresha maisha yako kila leo! 💬 Tunathamini maoni yako. Jiunge na mjadala na ushiriki nasi katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media ⚠️ Angalizo: Maudhui haya yamelenga kutoa elimu ya jumla kwa jamii pana. Ni jukumu la mtu binafsi kufanyia kazi mbinu zinazoendana na muktadha wake. #Afya #Akili #Mahusiano #Dr #Garvin #Kweka #Muhimbili #Saikolojia #thewisetz #wisdom #Tanzania #Kenya #Zanzibar #Congo #Rwanda #Upendo #WanawakeWenyeThamani #NidhamuYaMahusiano #Stress #MaumivuYaNafsi #AfyaYaAkili #Kazi #Mahusiano #Maisha