DC Katambi atoa ajira kwa wahitimu wa mafunzo ya Ulinzi Shirikishi
Dodoma City TV
0:00 / 0:00
DC Katambi atoa ajira kwa wahitimu wa mafunzo ya Ulinzi Shirikishi
14 016 просмотров · 8 лет назад
Dodoma City TV
6,34 тыс. подписчиков
14 016 просмотров · 8 лет назад
Mkuu wa wilaya ya Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Patrobas Katambi amewaagiza vijana waliohitimu mafunzo ya Ulinzi shirikishi kuwakamata watu wote wanaotupa taka hovyo mtaani ili kujipatia kipato.