TOSCI YAKAMATA TANI MOJA YA MBEGU ZA MAHINDI ZENYE CHAPA BANDIA
Daily News Digital
0:00 / 0:00
TOSCI YAKAMATA TANI MOJA YA MBEGU ZA MAHINDI ZENYE CHAPA BANDIA
147 просмотров · 1 дн. назад
Daily News Digital
286 тыс. подписчиков
147 просмотров · 1 дн. назад
TABORA: TAASISI ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imekamata tani moja ya mbegu za mahindi zinazodaiwa kuwa na ubora duni katika Kata ya Gongoni, mkoani Tabora, baada ya kubaini vifungashio vyake kuwa na chapa bandia ya taasisi hiyo.
Akizungumza na vyombo vya habari Mkoani Tabora, Mkuu wa TOSCI Kanda ya Ziwa na Magharibi Ayubu Mushema amesema mbegu hizo zimekamatwa katika operesheni ya kushtukiza iliyofanywa na wakaguzi wa ubora wa mbegu kutoka Kanda ya Ziwa na Magharibi, wakati wakifuatilia usafirishaji wa mbegu na kukagua maduka ya pembejeo za kilimo.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09