Перейти к содержимому

JAFFARAI - "NILIKUWA NA MANGWEA WIKI 2 KABLA HAJAFA - SIJAWAHI KUTESEKA MAISHANI"

Global TV Online

0:00 / 0:00

JAFFARAI - "NILIKUWA NA MANGWEA WIKI 2 KABLA HAJAFA - SIJAWAHI KUTESEKA MAISHANI"

1 140 просмотров · 1 дн. назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
1 140 просмотров · 1 дн. назад
JAFFARAI - "NILIKUWA NA MANGWEA WIKI 2 KABLA HAJAFA - SIJAWAHI KUTESEKA MAISHANI" Rapa mkongwe kutoka kundi la Wateule, Jafarai, amefunguka mambo mazito ambayo hajawahi kuyasema hadharani kupitia kipindi cha Kontena ndani ya Global TV Online. Kwenye mahojiano haya ya kipekee, Jafarai anafichua uhalisia wa maisha yake ya zamani South Africa, asili na kabila lake halisi, pamoja na mtazamo wake mkali kuhusu muziki wa sasa na jinsi wasanii wanavyoimba ngono badala ya kutumia tafsida. Pia anasimulia simulizi ya kugusa moyo kuhusu siku zake za mwisho na marehemu Albert Mangwea kabla ya kifo chake. #Jafarai #BongoFlava #Kontena #GlobalTVOnline #AlbertMangwea #Wateule ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com