Msukuma ahoji wanaosomeshwa kisha wanakuwa wezi; Aibua sakata la IPTL
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
Msukuma ahoji wanaosomeshwa kisha wanakuwa wezi; Aibua sakata la IPTL
19 661 просмотр · 2 года назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
19 661 просмотр · 2 года назад
Mbunge wa Geita Vijijini (CCM) Joseph Msukuma leo Ijumaa, Novemba 3, 2023 wakati akichangia maoni yake kwenye ripoti za Kamati za Bunge za PIC, LAAC na PAC kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG)