Huyu ndiye Ng'ombe anayeuzwa Sh5 milioni kwenye maonyesho ya nanenane Dodoma
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
Huyu ndiye Ng'ombe anayeuzwa Sh5 milioni kwenye maonyesho ya nanenane Dodoma
17 368 просмотров · 3 года назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
17 368 просмотров · 3 года назад
Mfugaji kutoka Wilaya ya Kongwa, Kenton Mshando aliyepo kwenye maonyesho ya Nanenane kanda ya kati yanayofanyika jijini Dodoma amesema kuwa Ng'ombe wake aina ya Kamando anauzwa Sh5 milioni huku Baba yake akiwa ameuzwa Sh7 milioni.
Mshando amesema kuwa ndama wa miezi 6 wa kamando anauzwa shilingi laki nane, huku ndama wa umri wa miezi 8 akiuzwa Sh1 milioni.