Historia ya Mzee wa miaka 82 aliyeisotea PhD UDSM kwa miongo minne
Daily News Digital
0:00 / 0:00
Historia ya Mzee wa miaka 82 aliyeisotea PhD UDSM kwa miongo minne
6 324 просмотра · 5 л. назад
Daily News Digital
285 тыс. подписчиков
6 324 просмотра · 5 л. назад
#Udsm #PhD #Elimu #Graduation #JakayaKikwete
Dk Samweli Mutasa ni miongoni mwa wa wahitimu waliotunukiwa shahada za uzamivu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Pamoja na kuwa kuwa mzee zaidi ya wahitimu wengine, lakini historia yake ni funzo kwa wengi @DailyNewsDigital