Kamanda Mkonda wa Traffic Akitoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa Abiria na Madereva Morogoro-Iringa
Focus TV Tanzania
0:00 / 0:00
Kamanda Mkonda wa Traffic Akitoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa Abiria na Madereva Morogoro-Iringa
202 просмотра · 1 день назад
Focus TV Tanzania
79,7 тыс. подписчиков
202 просмотра · 1 день назад
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, SACP William Mkonda, alipanda kwenye mabasi na kutoa elimu ya usalama barabarani ana kwa ana kwa madereva na abiria, alipofanya Oparesheni Maalum katika Barabara Kuu ya Morogoro - Iringa, zoezi lililofanyika usiku wa kuamkia Oktoba 15, 2026.
Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma.
.................
Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest.
Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments.
Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team Focus TV Tanzania
#FocusTVTanzania