PURPOSE LIFE: jinsi ya kugundua kusudi lako kupitia passion(shauku) Yako| JOSEPHAT KATO
Josephat kato
0:00 / 0:00
PURPOSE LIFE: jinsi ya kugundua kusudi lako kupitia passion(shauku) Yako| JOSEPHAT KATO
104 просмотра · 12 дней назад
Josephat kato
291 подписчик
104 просмотра · 12 дней назад
Katika Episode hii ya Purpose Life Series,
nitaelezea jinsi ya kutumia Shauku (Passion) kama dira ya kukuelekeza kwenye Kusudi lako la maisha.
Kwenye Video Hii Utajifunza:
Maswali 3 ya Dhahabu ya kutambua Passion yako halisi (The Passion Test).
Kwanini Mungu ameweka shauku hiyo maalum ndani ya moyo wako.
Tazama Episode ya 2 (Source & Identity) hapa: • PURPOSE LIFE SERIES: JINSI YA KUGUNDUA KUS...
Mfululizo wote wa vipindi uko kwenye Playlist hii: • PURPOSE LIFE SERIES
🔔 Hakikisha unabonyeza Subscribe na kuwasha kengele ili usipitwe na Episode zinazofuata!
#PurposeLifeSeries #JosephatKato #Passion #KusudiLaMaisha #Kujitambua #SwahiliPodcast #MotivationSwahili