Перейти к содержимому

Fahamu ugonjwa uliochukua maisha ya Mwalimu Nyerere (MAKALA NYERERE DAY 2018)

Azam TV

0:00 / 0:00

Fahamu ugonjwa uliochukua maisha ya Mwalimu Nyerere (MAKALA NYERERE DAY 2018)

3 230 просмотров · 8 л. назад
Azam TV
3,34 млн подписчиков
3 230 просмотров · 8 л. назад
Tarehe 14 Oktoba ya kila mwaka, Taifa hukumbuka kifo cha Rais wa Kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere aliyefariki Oktoba 14, mwaka 1999 nchini Uingereza katika Hospitali ya St Thomas kwa ugonjwa wa Saratani ya Damu. Je, unaujua vizuri ugonjwa huo? Kipindi cha Medi Counter maalum kwaajili ya kumbukumbu ya miaka 19 ya kifo cha Mwalimu Nyerere, tupo na daktari bingwa wa saratani kutoka Hospitali ya Ocean Road Dar es Salaam, Dkt. Emmanuel Lugina. Kupitia kwa daktari huyu utafahamu mengi ikiwemo chanzo, tiba, dalili na jinsi hali ilivyo kwa sasa nchini kuhusiana na ugonjwa huo. Makala hii maalum pia imetembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road na kuzungumza na baadhi ya wagonjwa pamoja na watumishi wa taasisi hiyo, na utaona jinsi walivyojipanga kiteknolojia kukabiliana na saratani nchini.