Shule ya Mwisenge, Chimbuko la elimu ya Mwalimu Nyerere (MAKALA NYERERE DAY 2018)
Azam TV
0:00 / 0:00
Shule ya Mwisenge, Chimbuko la elimu ya Mwalimu Nyerere (MAKALA NYERERE DAY 2018)
1 973 просмотра · 8 л. назад
Azam TV
3,34 млн подписчиков
1 973 просмотра · 8 л. назад
Uhifadhi wa kukumbumbu alizoziacha mwalimu nyerere katika shule ya msingi Mwisenge iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Musoma , alikosoma elimu yake ya msingi umechochea kwa kiasi kukubwa ongezeko la ari kwa walimu na wanafunzi kusoma kwa bidii ili kutimiza ndoto zao kama alivyofanya Mwalimu Nyerere.
Shule ya Mwisenge imebeba historia kubwa...historia iliyojijenga kabla na baada ya Uhuru. Ambatana na makala hii kujua zaidi ya kile unachokijua juu ya shule hii.