Перейти к содержимому

BARAKA YANGA AMLAANI KOCHA MANQOBA "HUKO ALIKO LOLOTE LIMKUTE"

Global TV Online

0:00 / 0:00

BARAKA YANGA AMLAANI KOCHA MANQOBA "HUKO ALIKO LOLOTE LIMKUTE"

2 055 просмотров · 6 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
2 055 просмотров · 6 ч назад
BARAKA YANGA APAGAWA NA YANGA KUMPASUA KAGERA SUGAR KMC - MANQOBA ALAANIWE ALIKO HUKO! Mchambuzi maarufu Baraka Yanga amefunguka kwa hisia kali baada ya ushindi mzuri wa Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar na KMC FC. Katika uchambuzi huu, Baraka anazungumzia kiwango cha timu, mbinu za ushindi, pamoja na kutoa dongo zito kwa Manqoba! Tazama video hii mwanzo hadi mwisho kupata madini yote ya soka la Bongo na uchambuzi wa kina. #YangaSC #NBCPremierLeague #BarakaYanga #KageraSugar #GlobalTVOnline #LigiKuuBara ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com