Upangaji wa ajira unategemea mahitaji
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
Upangaji wa ajira unategemea mahitaji
152 просмотра · 2 дня назад
UTV Tanzania
183 тыс. подписчиков
152 просмотра · 2 дня назад
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa upangaji wa ajira unategemea na mahitaji yanayoletwa na wizara husika kisha Serikali inatoa kibali katika wizara hizo ili ziweze kuendelee na mchakato wa kuajiri.
Hivyo ameeleza kuwa msingi wa kwanza wa upangaji ajira unaanzia katika mahitaji yanayoletwa na wizara husika ndipo Serikali inaweka bajeti ili ziweze kusaidia wizara hizo kupata mahitaji yao.