DAKIKA 30 NDANI YA SHAMBA LA WAZIRI MKUU MH MIZENGO PINDA - HAPA NI ZAIDI YA CHUO KIKUU
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
0:00 / 0:00
DAKIKA 30 NDANI YA SHAMBA LA WAZIRI MKUU MH MIZENGO PINDA - HAPA NI ZAIDI YA CHUO KIKUU
72 869 просмотров · 1 год назад
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
51,4 тыс. подписчиков
72 869 просмотров · 1 год назад
Timu yetu ya #ajefarms imebahatika kufika shambani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Mizengo Kayanza Pinda (Maarufu kama MTOTO WA MKULIMA) ambapo tumepata kujifunza kwa kuona na hapa tumekuletea A-Z kuhusu uwekezaji wake katika shamba lenye kila kitu kuanzia ufugaji wa samaki,nyuki,ng'ombe,mbuzi,ndege hadi kilimo cha miembe na zabibu. Ni kasri iliyozungukwa na bustani ya Eden.
Bila shaka utapenda sana na utajifunza kupitia kipindi hiki;tafadhali SUBSCRIBE,LIKE NA SHARE video hii kabla ya kuandika maoni yako au kuuliza swali.
Tutafurahi kuona maoni yako na kupokea maswali yako hapa. Unaweza pia kutuma ujumbe kwa WhatsApp:+255 757757968 au Email: info@aje-farms.com
CHAT NA WATAALAMU WETU KWA MASAA 24 KWA KUBONYEZA LINK HII :-https://direct.lc.chat/18957423/
#MASHAMBAYANAYOTYEMBEA