Перейти к содержимому

“LISSU KAONEWA!” MADELEKA NAYE ALIPUKA! HUKUMU YA LISSU YAZUA MTAFARUKU MKUBWA, MJADALA WATIKISA

Focus News Tanzania Tv 1

0:00 / 0:00

“LISSU KAONEWA!” MADELEKA NAYE ALIPUKA! HUKUMU YA LISSU YAZUA MTAFARUKU MKUBWA, MJADALA WATIKISA

1 510 просмотров · 2 ч назад
Focus News Tanzania Tv 1
22,7 тыс. подписчиков
1 510 просмотров · 2 ч назад
“LISSU KAONEWA!” MADELEKA NAYE ALIPUKA! HUKUMU YA LISSU YAZUA MTAFARUKU MKUBWA, MJADALA WATIKISA KILA KONA YA NCHI! Wakati mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu, akihukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uchochezi, hukumu iliyotolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, imeendelea kuibua mjadala mpana miongoni mwa wanasheria, wanazuoni na wadau mbalimbali wa masuala ya haki na demokrasia nchini. Mahakama Kuu ilimuachia huru Lissu kwa shtaka la uhaini, lakini ikamkuta na hatia ya kosa mbadala la uchochezi. Uamuzi huo umeibua maswali mbalimbali kuhusu tafsiri ya sheria, ushahidi uliowasilishwa mahakamani na haki za mshtakiwa. #focusnewstanzaniatv1 #lissu #chadema #tanzania #simba #yangasc