Перейти к содержимому

KAULI YA KWANZA YA TRUMP BAADA YA UCHAGUZI: "VITA YA IRAN YAWAGHARIMU REPUBLICAN VITI CONGRESS."

Focus News Tanzania Tv 1

0:00 / 0:00

KAULI YA KWANZA YA TRUMP BAADA YA UCHAGUZI: "VITA YA IRAN YAWAGHARIMU REPUBLICAN VITI CONGRESS."

2 410 просмотров · 7 ч назад
Focus News Tanzania Tv 1
22,4 тыс. подписчиков
2 410 просмотров · 7 ч назад
KAULI YA KWANZA YA TRUMP BAADA YA UCHAGUZI: "VITA YA IRAN YAWAGHARIMU REPUBLICAN VITI CONGRESS." Rais wa Marekani, Donald Trump, amekiri kuwa vita dhidi ya Iran kwa kiasi kikubwa vilichangia Chama cha Republican kupoteza viti katika uchaguzi wa katikati ya muhula (Midterm Elections), lakini amesisitiza kuwa hajutii uamuzi wake wa kuishambulia nchi hiyo na kwamba angechukua hatua hiyo tena endapo angepata nafasi. Trump ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika eneo la ujenzi wa ukumbi mpya wa Ikulu ya White House, katika hotuba yake ya kwanza hadharani tangu kufanyika kwa uchaguzi huo, ambapo Republican ilipoteza udhibiti wa mabunge yote mawili ya Congress. #focusnewstanzaniatv1 #trump #iran #usa #simba #yangasc