BINTI ROZANNE - PART 02
Ankojay Simulizi
0:00 / 0:00
BINTI ROZANNE - PART 02
42 163 просмотра · 4 недели назад
Ankojay Simulizi
169 тыс. подписчиков
42 163 просмотра · 4 недели назад
Mzee Msafiri nyuma alikuwa akikohoa mfululizo, mwili wake ukiyumba huku na kule. Lakini Sebastian alikuwa kama mtu aliyepagawa. Aliendelea kukimbiza gari kwenye njia hiyo ya vumbi mpaka walipofika eneo la pori nene, mbali na barabara kuu, ndipo alipopiga breki kali iliyosababisha gari kuteleza na kusimama kwa mtetemeko.