Перейти к содержимому

Jecha azikwa Zanzibar, watu watoa ya mioyoni wakumbuka uchaguzi wa 2015, Rais Mwinyi atowa pole

Weyani Tv

0:00 / 0:00

Jecha azikwa Zanzibar, watu watoa ya mioyoni wakumbuka uchaguzi wa 2015, Rais Mwinyi atowa pole

23 142 просмотра · 3 года назад
Weyani Tv
98,9 тыс. подписчиков
23 142 просмотра · 3 года назад
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko. Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo ya uchaguzi Zanzibar. Rais Mwinyi pamoja na Makamo wa Kwanza wa Rais Mhe. Othman Masoud wameshiriki mazishi yake.