Mapishi & Story ...... TUPIKE PAMOJA DAGAA ZANZIBAR..HUKU NASIMULIA STORY YA KWELI KABISAA USIKOSE
Rucky Film's
0:00 / 0:00
Mapishi & Story ...... TUPIKE PAMOJA DAGAA ZANZIBAR..HUKU NASIMULIA STORY YA KWELI KABISAA USIKOSE
64 просмотра · 2 месяца назад
Rucky Film's
7,1 тыс. подписчиков
64 просмотра · 2 месяца назад
Hello karibuni Tena Jikoni kwangu!! Leo nawafundisha jinsi ya kupika Visheti vitamu na vilaini kwa mahitaji rahisi kabisa.
MAHITAJI
*Dagaa Zanzibar
*Mafuta ya kupika
*Nyanya
*Viazi mbatata
*Kitunguu saumu 1
*Kitunguu Maji 1
*Karot
*Hoho
*Ndimu
*Chumvi
*************
Mimi ni Ruqaiyah Yassin (Mapishi na Rucky) ni Mpishi na Mtengenezaji wa maudhui haya. Video zote unazoziona hapa zimeandaliwa, zikarekodiwa, na kuhaririwa na Mimi mwenyewe katika jiko langu hapa Dar es salaam Tanzania. Lengo langu ni kushiriki mapishi asilia ya Kitanzania na mbinu rahisi za jikoni.
*************
Maudhui haya ni mali ya MAPISHI NA RUCKY Hairuhusiwi kupakua na kurusha tena video hii kwenye channel nyingine bila ruhusa.
Nifollow Kwenye Akaunti Yangu ya TikTok 👇
https://www.tiktok.com...