LIVE: CLOUDS 360 NA WAZIRI VIWANDA NA BIASHARA JUDITH KAPINGA I MCHONGO UNATUHUSU 🔥🔥 I 4.11.2026.
CLOUDSMEDIA
0:00 / 0:00
LIVE: CLOUDS 360 NA WAZIRI VIWANDA NA BIASHARA JUDITH KAPINGA I MCHONGO UNATUHUSU 🔥🔥 I 4.11.2026.
2 157 просмотров · Трансляция закончилась 21 ч назад
CLOUDSMEDIA
1,56 млн подписчиков
2 157 просмотров · Трансляция закончилась 21 ч назад
Ianze siku yako kwa kutufuatilia kupitia kipindi cha Clouds 360 ya Clouds Tv ujionee habari mbalimbali za ndani na nje ya Tanzania, na leo Clouds 360 inaruka mubashara kutoka ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma katika uzinduzi WA SERA YA MAENDELEO ENDELEVU YA VIWANDA NA BIASHARA 2025 na leo tupo na Mhe: Judith Kapinga - Waziri wa Viwanda na Biashara na Dkt. Sam Sasali, Sophia Kessy, Paul James (PJ) na James Tupatupa #Clouds360 kuanzia 12:30 live on @Cloudstv #LainiYaWana #Nyoosha #MalkiawaNguvu.