Wakazi Buhigwe Kigoma watishia kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa iwapo hawatojengewa daraja
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
Wakazi Buhigwe Kigoma watishia kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa iwapo hawatojengewa daraja
768 просмотров · 1 год назад
UTV Tanzania
182 тыс. подписчиков
768 просмотров · 1 год назад
Ikiwa imesalia mwezi mmoja na siku chache kufikia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu, wakazi wa kijiji cha Kigogwe wilayani Buhigwe mkoani Kigoma wametishia kutoshiriki uchaguzi huo mpaka watakapojengewa daraja la kudumu katika mto Luiche.
Je, sauti zao wamezipaza kwa namna gani?
Jacob Ruvilo amewatembelea.
Imehaririwa na @moseskwindi