Перейти к содержимому

🔥 TRUMP ALETA MSUKOSUKO MKUBWA MAREKANI!, AIBUA UTATA WA KURA ALASKA, JEFFERIES AANZA MPANGO WA.....

Focus News Tanzania Tv 1

0:00 / 0:00

🔥 TRUMP ALETA MSUKOSUKO MKUBWA MAREKANI!, AIBUA UTATA WA KURA ALASKA, JEFFERIES AANZA MPANGO WA.....

917 просмотров · 14 ч назад
Focus News Tanzania Tv 1
22,4 тыс. подписчиков
917 просмотров · 14 ч назад
🔥 TRUMP ALETA MSUKOSUKO MKUBWA MAREKANI!, AIBUA UTATA WA KURA ALASKA, JEFFERIES AANZA MPANGO WA KUMDHOFISHA BUNGENI! Rais wa Marekani Donald Trump amezua mjadala mpya katika siasa za Marekani baada ya kuingilia hadharani ushindani mkali wa uchaguzi wa Seneti katika jimbo la Alaska, akitoa wito wa kura zilizopigwa kwa mgombea huru mwenye jina la Dan Sullivan kuhesabiwa kwa niaba ya Seneta wa Republican, Dan Sullivan. Kauli hiyo ya Trump imeibua maswali kuhusu uadilifu wa mchakato wa uchaguzi, hasa kutokana na uwepo wa wagombea wawili wenye majina yanayofanana katika kinyang'anyiro hicho. #focusnewstanzaniatv1 #trump #usa #simba #yangasc #israel