Перейти к содержимому

TRUMP APATA PIGO CONGRESS, DEMOCRAT WADHIBITI SENETI NA BUNGE LA WAWAKILISHI, AANZA KULAUMU WENZAKE.

Focus News Tanzania Tv 1

0:00 / 0:00

TRUMP APATA PIGO CONGRESS, DEMOCRAT WADHIBITI SENETI NA BUNGE LA WAWAKILISHI, AANZA KULAUMU WENZAKE.

6 544 просмотра · 12 ч назад
Focus News Tanzania Tv 1
22,4 тыс. подписчиков
6 544 просмотра · 12 ч назад
TRUMP APATA PIGO CONGRESS, DEMOCRAT WADHIBITI SENETI NA BUNGE LA WAWAKILISHI, AANZA KULAUMU WENZAKE. Chama cha Democrat nchini Marekani kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa katikati ya muhula, baada ya kufanikiwa kuiondoa mikononi mwa Republican udhibiti wa Seneti na kupata ushindi katika Baraza la Wawakilishi, hatua inayotarajiwa kubadilisha kwa kiasi kikubwa mwelekeo wa siasa za taifa hilo katika kipindi kilichosalia cha urais wa Donald Trump. Matokeo hayo ni pigo kubwa kwa chama cha Republican ambacho kiliingia katika uchaguzi huo kikiwa na udhibiti wa vyombo vyote viwili vya kutunga sheria nchini humo, yaani Seneti na Baraza la Wawakilishi. #focusnewstanzaniatv1 #trump #usa #iran