Перейти к содержимому

JINSI YA KUPIKA PIZZA -KISWAHILI

Aroma Of Zanzibar & Beyond

0:00 / 0:00

JINSI YA KUPIKA PIZZA -KISWAHILI

542 134 просмотра · 8 лет назад
Aroma Of Zanzibar & Beyond
253 тыс. подписчиков
542 134 просмотра · 8 лет назад
Sosi ya pizza Mahitaji Mkebe mmoja wa nyanya 280z/794 gms Nyanya za kawaida mbichi kiasi gram 800 Vitunguu thom kiasi chem 4/5 Mafuta ya halizeti vinjiko 2 vikubwa Sukari kijiko 1 kikubwa au zaidi Chumvi kijiko 1 kidogo Pilipili mannga 1/2 kijiko kidogo majani ya zaatari/saatari makavu na mabichi kama utapenda Kwa Unga wa pizza Unga wa ngano vikombe 3 1/2 - 437gm Maji ya vuguvugu kikombe 1 - 250ml Sukari vijiko 2 vikubwa Chumvi kijiko 1 kidogo Hamira vijiko 2 1/2 vidogo ( gms 7) Mafuta ya halizeti vijiko 2 vikubwa OKA PIZZA MARA YA KWANZA MOTO 400F/260C kwa dakika 5 , halafu endeles kwa dakika 7/8 Jinsi ya kupika nyanya mbichi (blanching)   • How to Blanch Tomatoes