MAHAKAMA KENYA YAAMURU TWAHA MWAIPAYA APATIKANE | USALITI MKUBWA CHADEMA
JasusiTV
0:00 / 0:00
MAHAKAMA KENYA YAAMURU TWAHA MWAIPAYA APATIKANE | USALITI MKUBWA CHADEMA
6 882 просмотра · 6 ч назад
JasusiTV
108 тыс. подписчиков
6 882 просмотра · 6 ч назад
#chadema #twahamwaipaya #tanzania
Mahakama Kuu ya Kenya imeliamuru Jeshi la polisi la nchi hiyo pamoja na taasisi nyingine kadhaa za serikali kuhakikisha kuwa mwanaharakati wa Tanzania, Twaha Mwaipaya anapatikana kufikia Jumatatu ya Novemba 2 mwaka huu saa 5 asubuhi. Uamuzi huo umetokana na shauri lililofunguliwa na taasisi kadhaa za kiraia za Kenya kuitaka mahakama izilazimishe taasisi husika kumelta Twaha akiwa hai au la.
Wakati hayo yakitokea, hali si shwari ndani ya Chadema, ambapo kuna taarifa za usaliti mkubwa ambao unadaiwa kuchangia Twaha kutekwa na kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa chama hicho, John Pambalu.
TANGAZO: Kitabu kipya NYERERE TO SAMIA kinachofanya uchambuzi wa kina kuhusu mizizi iliyowezesha mauaji yaOktoba 29, 2025 kuanzia utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia. Kitabu hiki kitakufumbua macho kwenye mengi usiyoyafahamu Tanzania. Kinapatikana hapa https://jasusistore.com
Vitabu vingine:
Nunua kitabu cha SAKATA LA NCHIMBI na MAISHA HATARINI, pata riwaya ya MTANDAO bure.
SAKATA LA NCHIMBI ni kitabu kinachoeleza kwa kina kuhusu Dkt Emmanuel Nchimbi, safari yake hadi kuwa Makamu wa Rais, asili ya bifu lake na Samia, kulazimishwa kujiuzulu umakamu, kuvuliwa uanachama CCM kabla ya kuwekwa KIZUIZINI. Je yupo Hai au la?
MAISHA HATARINI ni kitabu muhimu sana katika zama hizi za utekaji. Kwa kifupi kinaeleza kuhusu misukosuko aliyopitia mwandishi baada ya kufahamishwa kuwa maisha yake yapo hatarini. Na jinsi alivyonusurika kuuawa mara kadhaa.
Pia kitabu kinaongelea matukio mengine matano kuhusu kutekwa kwa Balozi Humphrey Polepole, Mdude Nyagali, Deusdedit Soka, Azory Gwanda na kutekwa na kuuawa marehemu Mzee Ali Kibao.
Kisha kitabu kinaeleza mbinu mbalimbali za tahadhari na kukunusuru, ambazo mwandishi alifunzwa wakati wa utumishi wake katika Idara ya Usalama wa Taifa na anazoendelea kuzitumia kujilinda.
MTANDAO ni riwaya ya kijasusi kuhusu kundi hatari la kisiasa liitwalo Mtandao linaloongozwa na Jabari Mselete, ambapo kundi hilo linataka kumuondoa madarakani Rais Chuma, ambaye analazimika kuomba msaada kutoka kwa Jasusi, afisa wa zamani wa Shirika la Ujasusi Tanzania (SHUTA), ambaye nae anawindwa na genge la Mtandao ili aangamizwe.
Ukisoma riwaya hii utadhani unaangalia filamu kali ya kijasusi
PATA KOPI ZAKO HAPA jasusistore.com